Watch and track your favorite playlist.
Curated by: Millard Ayo (337 videos)
Rapper Chidi Benz amefika kwenye Studio za Mtangazaji Millard Ayo na kuketi na Timu nzima ya AMPLIFAYA CloudsFM kwa mahojiano ya kipekee kwa mara ya kwanza toka atoke Rehab ambapo amesimuli mengi yanayohusu maisha yake ya sasa na yaliyopita, karibu kumfuatilia katika sehemu hii ya kwanza. ( PART ONE ).