Watch and track your favorite playlist.
Curated by: Millard Ayo (337 videos)
Amplifaya ya CloudsFM inayoongozwa na Millard Ayo na Frida Amani imekaa kwenye EXCLUSIVE INTERVIEW na MC PILIPILI baada ya muda mrefu wa ukimya wake toka afiwe na Mama yake Mzazi siku ya harusi ya Mdogo wake, amezungumzia pia swala la yeye kuwa Mchungaji na kujishangaa ilikuaje akalia siku ya kuvisha pete.